"Mama yangu alinyanyaswa, mpaka amefariki "-Shetta
Moja kati ya wasanii wenye maisha mazuri hapa Bongo ni Shetta, pia kwa sasa msanii huyo anashirikiana na sekta za Serikali kufanya kazi kama msafara wa kijinsia kumtokomeza ukatili chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.