Aliyemwekea mkewe Pilipili sehemu za siri anaswa

James Muriuki, aliyemwekea Mke wake Gundi na Pilipili

Polisi katika Kaunti ya Taraka Nithi nchini kenya, wanamshikilia mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la James Muriuki, kwa tuhuma za kumuwekea Mke wake Pilipili kwenye sehemu zake za siri na kisha kumziba na gundi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS