Wizara yaruhusu mazoezi kwa vilabu,yatoa tahadhali
Wachezaji na benchi la ufundi wakiwa mazoezini
Baada ya Rais Magufuli hapo jana Mei 21 kuruhusu kuruhusu michezo kuendelea, Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imeruhusu klabu za soka kuanza kufanya mazoezi.