RC aukataa Ubunge, adai yeye anatafuta kura za JPM
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema kuwa wakati anapewa nafasi hiyo aliambiwa akachape kazi hivyo ni lazima atekeleze agizo hilo kwanza na wala hana hata mpango wa kupanga foleni kutafuta jimbo wa Ubunge wa Viti Maalum.

