'Nafikiria kurejesha Ligi' - Rais Magufuli
Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema anafikiria siku zijazo huenda akaruhusu kurejea kwa Ligi Kuu soka Tanzania Bara na michezo mingine kwa kile alichokisema ili kuwapa nafasi wananchi kutazama michezo hiyo, kwenye TV.