Magufuli 'ashangaa' Papai na Mbuzi kupata Corona Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameeleza kushangazwa kufuatia sampuli za Papai, Mbuzi kukutwa na Virusi vya Corona baada ya kupimwa kwenye Maabara kuu ya Taifa. Read more about Magufuli 'ashangaa' Papai na Mbuzi kupata Corona