Serikali yatangaza masharti ya mashabiki viwanjani
Mashabiki wa Simba wakiwa uwanjani
Serikali imetoa mwongozo wa namna ya wadau wote watakavyoshiriki michezo na ni muhimu kwa wote kuufuata maana unawahusu kuanzia wachezaji, makocha, viongozi na mashabiki.