"Maisha ni fumbo kama kilivyo kifo" - DC Jokate

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo.

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo, amesema kuwa ile Tweet yake ya jana ya kwamba alipoteuliwa kwenye nafasi hiyo watu walimbeza na kumkejeli na kusema kuwa hilo halikuiwa dongo kwa mtu yeyote yule, bali alikuwa anajaribu kuelezea safari ya mwanadamu ilivyo fumbo kama kilivyo kifo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS