Mbunge CHADEMA 'akanusha' kukiuka agizo la Mbowe

Mbunge wa Viti maalum, CHADEMA, Cecilia Paresso

Mbunge wa Viti maalum, CHADEMA, Cecilia Paresso amekanusha taarifa za yeye kuhudhuria Bungeni siku ya jana na ameshangazwa kuona jina lake limetajwa kwenye idadi ya wabunge 11 waliohudhuria Bungeni kinyume na tamko la Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS