Wizara ya Maliasili yatoa mwongozo kwa watalii
Wizara ya Maliasili na Utalii imeweka mwongozo maalum kwa kampuni zinazojihusisha na watalii, kuhakikisha kuwa wanakuwa na taarifa za mara kwa mara za tahadhari ya maambukizi ya Virusi vya Corona zinazopaswa kuchukuliwa na kufuatwa kwa usahihi.