Lema amjibu Ndugai "kauli yake ni dharura"

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema.

Mbunge wa Arusha Mjini, kupitia CHADEMA, Godbless Lema, amesema kuwa kauli aliyoitoa Spika wa Bunge Job Ndugai, kwamba wabunge wa CHADEMA wanapelekeshwa, si ya kweli na aliitoa kwa dharula kwa kuwa chama chake kinaongozwa na watu wanaojielewa na hivyo hakuna mtu wa kumpelekesha mwenzake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS