Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, ametoa ratiba ya mchakato wa kuteua wagombea ndani ya Chama hicho kwaajili ya uchaguzi mkuu mwezi Oktoba 2020.