Mwandishi wa kujitegemea wa EATV afariki dunia Manuel Kaminyoge Mwandishi wa kujitegemea wa EATV katika mkoa wa Songwe, Manuel Kaminyoge amefariki dunia leo jioni katika hospitali ya Ikonda mkoani Iringa alipokuwa anapatiwa matibabu. Read more about Mwandishi wa kujitegemea wa EATV afariki dunia