CHADEMA wamjibu Spika, wahoji wakapime wapi
CHADEMA kimemjibu Spika Ndugai kwa kumuambia kuwa kama anataka Wabunge warudi Bungeni wakiwa wamepima, basi aseme anataka wakapime wapi kwa kuwa Serikali imepoteza imani na Maabara yake na inaichunguza, na kuongeza kuwa yeye ndiye Spika wa kwanza kulipa posho kwa Mbunge hewa Cecil Mwambe.