Hotuba ya JPM kuhitimisha Bunge la 11, leo Juni 15
Rais Magufuli leo Juni 16, 2020 analihutubia Bunge la 11 katika ukumbi wa Bunge Dodoma ambapo moja ya vitu alivyovieleza ni uimara vya Jeshi la vyombo vya usalama kwa ujumla ambavyo vimefanikiwa kudhibiti vitendo vya kiharifu.