"Mwaka huu nilikuwa kugombea Urais Tanzania"-Rado
Tumezoea kuona wasanii maarufu kutaka kuwa viongozi hasa katika nyadhifa ya Ubunge ila hii ipo tofauti kwa msanii wa filamu Rado ambaye amesema anataka kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2025.
