'Tanzania hatujalegalega' - Waziri Kabudi
Tanzania imesema haijalegalega wala kujitenga katika kupambana na maradhi ya COVID – 19 na badala yake imetoa uongozi madhubuti katika kuratibu na kuunda timu ya wataalamu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC kuandaa muongozo na utaratibu wa kukabiliana na ugonjwa huo