Sukari Mtwara : 8 wakamatwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelesius Bakanwa Wafanyabiashara 8 wa Sukari, mkoani Mtwara wamekamatwa kwa kukiuka agizo la Serikali kuhusiana na uuzaji wa kuuza Sukari kinyume na bei elekezi ya iliyotolewa. Read more about Sukari Mtwara : 8 wakamatwa