Morrison alidanganya ,asingecheza bila mkataba.
Kamati ya katiba,sheria na hadhi za wachezaji ya TFF imesema kwamba hakuna mchezaji aliyeruhusiwa kucheza ligi bila ya kuwa na mkataba,hivyo kauli ya Benard Morrison kuwa alicheza mechi mbili mbila mkataba ni uongo.

