Fahamu waliohifadhi Mil 200 za Sarafu walivyonaswa
Kamati ya ulinzi na usalama Wilaya ya Morogoro, imekamata watu wanne raia wa China kwa kosa la kuhifadhi fedha, ambazo ni Sarafu za Tanzania zaidi ya Shilingi Milioni 200, kinyume na sheria katika nyumba moja iliyopo Mtaa wa Mwere Manispaa ya Morogoro.