Kushoto ni mwalimu mstaafu Hadija Nassor Mazola na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Iringa katika kipindi cha kuanzia mwezi Januari hadi Juni, 2020 imeweza kuokoa kiasi cha fedha zaidi ya shiliingi bilioni 1.2.