Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad.
Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kuwa mpaka sasa tayari amekwishafanya maamuzi ya dhati na hivi karibuni atayatangaza na hivyo wananchi wajiandae.