Watoto wanaodaiwa kuoana Geita, wazungumza
Watoto wadogo wanaosoma Darasa la Nne na la Pili, huko Mkoani Geita, ambao taarifa zao za kudaiwa kufunga ndoa zilisambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, wamesema kuwa hiyo haikuwa ndoa halisi na kwamba walifanya tu kama mchezo wa kitoto.