Utaratibu wa kuingia getini, maonesho ya Sabasaba Eneo la maonesho ya Sabasaba Jijini Dar es Salaam Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva amezitaka Taasisi za Serikali na za binafsi kufanya ujenzi wa mabanda yao usiku na mchana ili kukamilisha na kuanza kutoa huduma kuelekea maonesho ya Sabasaba. Read more about Utaratibu wa kuingia getini, maonesho ya Sabasaba