TAKUKURU yasimamisha wafanyakazi tisa

Pichani ni Mkurugenzi wa Takukuru Brigedia Jenerali JOHN MBUNG’O

Taasisi ya Kuzuia na Kkupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetekeleza maagizo ya Rais Dkt John Magufuli ya kuondoa madoa ya uwepo wa viashiria vya rushwa kwa baadhi ya watumishi wake baada ya kusimamisha watumishi tisa wa kitengo cha usimamizi wa miliki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS