Nandy amfikisha Billnass ukweni Msanii Billnass akiwa ukweni kwa familia ya Nandy Baada ya kupita takribani miezi mitatu tangu Nandy kuvalishwa pete ya uchumba na Billnass sasa inaonekana wazi suala la ndoa linakaribia kwani wameonekana kufika ukweni kwa Nandy Usangi,Same mkoani Kilimanjaro. Read more about Nandy amfikisha Billnass ukweni