Shilole aamua kuachana na Uchebe, chanzo vipigo Msanii Shilole. Msanii na mfanyabiashara Shilole ameomba radhi na kuvunja ukimya kutokana na vitendo vya ukatili anavyofanyiwa na mume wake Uchebe baada ya kuchezea kichapo kutoka mwanaume huyo. Read more about Shilole aamua kuachana na Uchebe, chanzo vipigo