Bodi ya Mikopo yatolea ufafanuzi suala la fedha Bodi ya Mikopo Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Tanzania (HESLB), kupitia Mkuu wake wa Kitengo cha Mawasiliano Omega Ngole, imetoa ufafanuzi kuhusu kupungua kwa kiwango cha fedha za kujikimu kwa wanufaika. Read more about Bodi ya Mikopo yatolea ufafanuzi suala la fedha