Polisi Tanzania wakubali mabadiliko shingo upande
Uongozi wa klabu ya Polisi Tanzania ya mkoani Kilimanjaro, imeyapokea kwa shingo upande mabadiliko ya ratiba ya mchezo wao wa ligi kuu ya Tanzania bara baina yao dhidi ya Mbeya City uliotakiwa uchezwe jana katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

