TAKUKURU yaonya wafanyabiashara kuelekea Uchaguzi
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU), imetahadharisha wafanyabishara kutojihusisha na vitendo vya rushwa, kupitia dhana ya ufadhili wa gharama za uchaguzi ndani ya vyama vya siasa.

