Tanzania imechelewa kujengewa Arena
Licha ya Serikali kuwa na mpango madhubuti wa kujenga uwanja mkuwa kwa ajili ya shughuli kubwa za michezo, mkufunzi wa timu za Taifa za vijana nchini Bahati Mgunda amesema mchakato huo ni mzuri ingawa umechelewa sana.

