Nassari aomba radhi kwa hili, aishukuru CHADEMA
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Arumeru kupitia CHADEMA Joshua Nassari, amewaomba radhi wale wote waliokuwa wakitamani kumuona yeye akiendelea kuwa upinzani, kwa kusema hawezi kuwa mnafiki, huku akikishukuru chama chake cha awali kwa kumlea tangu akiwa mdogo.

