Michapo ya VPL raundi ya 36,Singida Utd yashangaza

Kocha wa Singida United Ramadhani Nswanzulimo (Kulia), akimpa maelekezo kiungo Haruna Moshi (Kushoto) katika mmoja ya mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara.

Klabu ya Singida United ambayo imeshaporomoka daraja, imeishangaza klabu ya Ruvu Shooting katika uwanja wake wa nyumbani wa mabatini kwa kuwachapa kwa mabao 2-0.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS