Rais Magufuli abadilisha uteuzi wa Mkuu wa Mkoa Rais Magufuli Rais John Magufuli amefanya mabadiliko ya uteuzi Mkoa wa Njombe kwa kumteua Mhandisi Marwa Mwita Rubirya kuwa Mkuu wa mkoa wa Njombe. Read more about Rais Magufuli abadilisha uteuzi wa Mkuu wa Mkoa