Ripoti ya idadi ya watia nia waliojitokeza CCM Katibu Mkuu wa CCM mkoa wa Morogoro, Shaka Hamdu Shaka Zaidi ya wanachama mia tano wa Chama cha Mapinduzi wamejitokeza mkoani Morogoro, kutia Nia ya kuwania nafasi ya Ubunge katika majimbo 11 ya mji huo. Read more about Ripoti ya idadi ya watia nia waliojitokeza CCM