"Mkapa alikataa kuitwa Mtukufu" - Dkt Kijo Bisimba
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dkt Hellen Kijo Bisimba, amesema kuwa wakati wa uongozi wake Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa alikataa kabisa kuitwa jina la mtukufu.

