Mamilioni watakayovuna klabu za VPL msimu ujao
Mtaalamu wa Soka kutoka East Africa Radio, Ibra Kasuga leo alikuwa na mahojiano maalum na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka nchini TFF, Wilfried Kidau kutazama maendeleo ya soka nchini tangu uongozi huo ulipoingia madarakani mwaka 2017.

