Liverpool haiwezi kuwa bora mpaka ishinde UEFA CL Arne Slot - Kocha wa Klabu ya Liverpool Kocha wa Liverpool Arne Slot amesema timu yake haiwezi kuitwa timu bora zaidi barani Ulaya hadi watakaposhinda Ligi ya Mabingwa barani Ulaya. Read more about Liverpool haiwezi kuwa bora mpaka ishinde UEFA CL