Wanawake waweka mkakati wa miundombinu ya maji

Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri,

Katika kuelekea siku ya wanawake duniani sambamba na wiki ya maji, wanawake wa Wizara ya Maji wamekuja na mkakati maalumu wa ujenzi wa miundombinu ya uvunaji wa maji ya mvua.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS