Ramos afungua ukurasa wa Magoli Monterrey

Sergio Ramos - Nahodha wa zamani wa Real Madrid

Nahodha wa zamani wa Real Madrid Sergio Ramos amefunga bao lake la  kwanza katika klabu yake ya  Monterrey wakati timu hiyo ya Mexico ikiilaza Santos Laguna 4-2 kwenye Uwanja wa Estadio BBVA.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS