Mgogoro mpya wanukia Sudan Kusini waandamizi wakik
Vikosi vya Sudan Kusini vimemkamata waziri wa mafuta na maafisa kadhaa waandamizi wa jeshi wanaoshirikiana na Makamu wa Kwanza wa Rais Riek Machar wakati wanajeshi wakizingira nyumba yake katika mji mkuu Juba.