Dkt Mollel ataka Afrika izalishe teknolojia zake Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa rai juu ya umuhimu wa nchi za Afrika kushirikiana na kuibua wagunduzi wake ili kuzalisha teknolojia yake badala ya kuendelea kuwa tegemezi. Read more about Dkt Mollel ataka Afrika izalishe teknolojia zake