Mwakinyo akamatwa tuhuma za kumpiga mtu

Bondia Hassan Mwakinyo

Jeshi la Polisi mkoa wa Tanga linamshikilia kwa mahojiano bondia Hassan Mwakinyo, kwa tuhuma za kumshambulia mtu anayedaiwa kuingia katika eneo lake bila ya ridhaa yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS