Kuishi bila matumizi ya simu janja hubadili ubongo
Inaweza ikawa ngumu kwa upande wako hata dakika moja kusogea mbele ya macho yako bila kuwa na simu, na huenda umekuwa mrahibu kwenye kiwango ambacho usipokuwa na bando unakuwa mfano wa mraibu wa kileo ambaye anakosa nguvu kabisa.