Bongo Fleva haikui zaidi ya Miaka minne Kwa zaidi ya Miaka saba sasa Game ya muziki wa #BongoFleva imeshindwa kuzalisha wasanii wapya wakubwa ambao tunaweza kujivunia kama wasanii wetu wapya wakubwa. Read more about Bongo Fleva haikui zaidi ya Miaka minne