Kikosi cha kuifunga Arsenal J'Pili kipo tayari Ruben Amorim - Kocha wa Manchester United amesema wachezaji wake Kobbie Mainoo, Manuel Urgate, Mason Mount na Luke Shaw watarejea katika mchezo wa kesho Manchester United itaakapoikabili Arsenal saa 1:30 Usiku katika dimba la Old Trafford Read more about Kikosi cha kuifunga Arsenal J'Pili kipo tayari