Chino Kidd Amshika mkono pakubwa Nuh mziwanda
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda, amegusa mioyo ya mashabiki baada ya kuandika ujumbe wa shukrani kwa msanii mwenzake Chino Kidd, kwa kumpa msaada mkubwa katika kipindi ambacho anahitaji zaidi