Enock Bella ajitokeza kumuomba msamaha Mbosso Picha ya Mbosso upande wa kushoto, kati Mkubwa Fella na kulia ni Enock Bella Msaniii Enock Bella amejitokeza hadharani kumuomba msamaha Mbosso kwa yote ambayo amemkosea katika maisha waliyoishi zamani mpaka sasa. Read more about Enock Bella ajitokeza kumuomba msamaha Mbosso