Busara na Hekima zitumike zaidi Dabi ya Kariakoo

Steven Mnguto - Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi,

Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Steven Mnguto, amesema tayari wamejibu barua ya Yanga na hawana mamlaka ya kuwazuia kwenda CAS lakini kama wameenda CAS kwa kipindi hiki ambapo hawajasema kuwa suala hilo limeamriwa vipi itakuwa ni kitu cha kuchekesha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS