Daraja la JPM ni miongoni mwa miradi kamilifu
Katika hotuba yake ya kulivunja Bunge leo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameeleza baadhi ya mafanikio ya Serikali yake, akitaja kukamilika kwa miradi mikubwa ya kimkakati.